Yesu Pekee

Yesu Pekee

Paperback (20 Feb 2014) | Swahili

  • $10.94
Add to basket

Includes delivery to the United States

10+ copies available online - Usually dispatched within 7 days

Publisher's Synopsis

Kitabu hiki kinalenga Kristo, msalaba, na injili. Kinazingatia utimilikaji wa ahadi ya mungu iliyofanywa sawa kwa zaidi ya miaka elfu tatu iliyopita. Mungu aliahidi ya kwamba ataishi na kutembea pamoja nasi, na kuwa angekuwa mungu wetu nasi kuwa watu wake. Ahadi hiyo ilitimilika ndani ya Yesu ambaye alikuwa Mungu pamoja nasi. Yesu alikuja kutuonyesha vile mungu alivyo. Alitwaa dhambi zetu na kujivika, na pale msalabani alilaaniwa na kuhukumiwa kwazo ili sisi tuwe huru kutokana na hiyo hukumu. Na hivyo ndivo mungu alivyo. Katika kitabu hiki "Yesu pekee," kuna vito vya injili ambavyo havipatikani kwingineko- vito ambavyo vinakutia shime kumtukuza mungu kwa upendo na hekima yake kuu. Daktari Desmond Ford ameandika vitabu vingi kuhusu injili ya Kristo. Taasisi yake 'Good News Unlimited', inachapisha jarida, inatoa mahubiri ya video kwenye mtandao, na inadhamini huduma za ibada.

Book information

ISBN: 9781495925887
Publisher: On Demand Publishing, LLC-Create Space
Imprint: Createspace
Pub date:
Language: Swahili
Number of pages: 122
Weight: 149g
Height: 216mm
Width: 140mm
Spine width: 7mm